Tathmini ya Kamusi Tano za Kiswahili

Makala hii inaeleza mbinu za kikompyuta za kutathmini kamusi, na inatoa pia matokeo ya tathmini ya kamusi tano za Kiswahili. Kamusi hizo ni: Kamusi ya Kiswahili Sanifu (TUKI), Kamusi ya Maana na Matumizi (OUP), Modern Swahili - Modern English Dictionary (MS-tryck), Kamusi ya Kiswahili - Kiingereza...

Full description

Bibliographic Details
Main Author: Arvi Hurskainen
Format: Article
Language:English
Published: Nordic Africa Research Network 2002-06-01
Series:Nordic Journal of African Studies
Subjects:
Online Access:https://www.njas.fi/njas/article/view/361
Description
Summary:Makala hii inaeleza mbinu za kikompyuta za kutathmini kamusi, na inatoa pia matokeo ya tathmini ya kamusi tano za Kiswahili. Kamusi hizo ni: Kamusi ya Kiswahili Sanifu (TUKI), Kamusi ya Maana na Matumizi (OUP), Modern Swahili - Modern English Dictionary (MS-tryck), Kamusi ya Kiswahili - Kiingereza (TUKI), na Swahili - Suomi - Swahili -sanakirja (SKS). SALAMA (Swahili Language Manager), ambayo ilitumiwa katika tathimini hii, huweza kuainisha maneno ya Kiswahili na kuteua lemma za maneno katika matini. Ufanisi wa kila kamusi ulitathminiwa kwa kutumia aina tatu za matini, na matokeo yametolewa kwa njia ya matarakimu na jedwali. Tathmini inaonyesha uzuri na upungufu wa kila kamusi na kuleta mwongozo juu ya kurekebisha kamusi hizo.
ISSN:1459-9465