Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini

Tukichunguza hazina ya uhakiki uliofanywa katika taaluma ya fasihi ya Kiswahili na kuiweka katika mizani, upande mmoja ubebe tahakiki zilizozingatia maudhui na mwingine zile zilizoangaza fani, upande wa maudhui utalemewa na uzito na kuanguka. Ni kweli kuwa umuhimu wa fasihi katika jamii unatokana n...

Full description

Bibliographic Details
Main Author: E. S. Mohochi
Format: Article
Language:English
Published: Nordic Africa Research Network 2000-09-01
Series:Nordic Journal of African Studies
Online Access:https://www.njas.fi/njas/article/view/620
_version_ 1797698560324534272
author E. S. Mohochi
author_facet E. S. Mohochi
author_sort E. S. Mohochi
collection DOAJ
description Tukichunguza hazina ya uhakiki uliofanywa katika taaluma ya fasihi ya Kiswahili na kuiweka katika mizani, upande mmoja ubebe tahakiki zilizozingatia maudhui na mwingine zile zilizoangaza fani, upande wa maudhui utalemewa na uzito na kuanguka. Ni kweli kuwa umuhimu wa fasihi katika jamii unatokana na jinsi ambavyo inaimulika jamii na kuichora kwa madhumuni ya kuihakiki na kuirekebisha kutokana na udhati na uzito wa mafunzo mwafaka inayoyabeba. Ni kweli vile vile kuwa fasihi ni sanaa kutokana na matumizi ya pekee ya lugha na vipengele vingine vya fani ambavyo kwa pamoja huipa sura maalum na kuyafanya maudhui yake yatufikie katika hali na umbo linalovutia. Hali hii ndiyo huiwezesha fasihi kutuingia, ikatuchoma na kutufikirisha zaidi. Ndio nguzo ya utamu wa fasihi. Katika misingi hiyo, uendelezaji wa fasihi; hasa kwa upande wa uhakiki unapaswa kuzingatia pande zote mbili za sarafu; yaani maudhui na fani inayoyabeba maudhui hayo. Makala hii imelengwa kutoa mchango huo kwa kuupa uzito upande wa fani ya fasihi kwa kuzingatia kipengele cha usimulizi. Nao uteuzi wa usimulizi umechochewa na ukweli kuwa mbinu hii haijachunguzwa na wahakiki wengi katika fasihi ya Kiswahili. Awali ya kuchambua jinsi ambavyo mbinu hii ya usimulizi imejitokeza katika riwaya ya Nyongo Mkalia Ini, dhana ya usimulizi itafafanuliwa na nafasi yake katika fasihi kuwekwa bayana.
first_indexed 2024-03-12T03:56:01Z
format Article
id doaj.art-aa1d6b9d907b4827bec3bd8954b93ba9
institution Directory Open Access Journal
issn 1459-9465
language English
last_indexed 2024-03-12T03:56:01Z
publishDate 2000-09-01
publisher Nordic Africa Research Network
record_format Article
series Nordic Journal of African Studies
spelling doaj.art-aa1d6b9d907b4827bec3bd8954b93ba92023-09-03T11:54:50ZengNordic Africa Research NetworkNordic Journal of African Studies1459-94652000-09-019210.53228/njas.v9i2.620Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia IniE. S. Mohochi0University of Egerton Tukichunguza hazina ya uhakiki uliofanywa katika taaluma ya fasihi ya Kiswahili na kuiweka katika mizani, upande mmoja ubebe tahakiki zilizozingatia maudhui na mwingine zile zilizoangaza fani, upande wa maudhui utalemewa na uzito na kuanguka. Ni kweli kuwa umuhimu wa fasihi katika jamii unatokana na jinsi ambavyo inaimulika jamii na kuichora kwa madhumuni ya kuihakiki na kuirekebisha kutokana na udhati na uzito wa mafunzo mwafaka inayoyabeba. Ni kweli vile vile kuwa fasihi ni sanaa kutokana na matumizi ya pekee ya lugha na vipengele vingine vya fani ambavyo kwa pamoja huipa sura maalum na kuyafanya maudhui yake yatufikie katika hali na umbo linalovutia. Hali hii ndiyo huiwezesha fasihi kutuingia, ikatuchoma na kutufikirisha zaidi. Ndio nguzo ya utamu wa fasihi. Katika misingi hiyo, uendelezaji wa fasihi; hasa kwa upande wa uhakiki unapaswa kuzingatia pande zote mbili za sarafu; yaani maudhui na fani inayoyabeba maudhui hayo. Makala hii imelengwa kutoa mchango huo kwa kuupa uzito upande wa fani ya fasihi kwa kuzingatia kipengele cha usimulizi. Nao uteuzi wa usimulizi umechochewa na ukweli kuwa mbinu hii haijachunguzwa na wahakiki wengi katika fasihi ya Kiswahili. Awali ya kuchambua jinsi ambavyo mbinu hii ya usimulizi imejitokeza katika riwaya ya Nyongo Mkalia Ini, dhana ya usimulizi itafafanuliwa na nafasi yake katika fasihi kuwekwa bayana. https://www.njas.fi/njas/article/view/620
spellingShingle E. S. Mohochi
Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini
Nordic Journal of African Studies
title Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini
title_full Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini
title_fullStr Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini
title_full_unstemmed Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini
title_short Usimulizi wa Riwaya ya Nyongo Mkalia Ini
title_sort usimulizi wa riwaya ya nyongo mkalia ini
url https://www.njas.fi/njas/article/view/620
work_keys_str_mv AT esmohochi usimuliziwariwayayanyongomkaliaini